Ajali hiyo imetokea Matanzas magharibi ya nchi hiyo, na Vikosi vya kuzima moto vinaendekea kupambana na moto huo mkubwa unaoweza kuonekana kwa maili nyingi .
Tayari mji mkuu wa Cuba, Havana unaingia katika mgao wa umeme, mamlaka za serikali zinasema kutokana na ajali hiyo kubwa ya moto. Moto huo wakaazi wa nchi hiyo wanaufananisha na mithili ya moto wa kiama yaani siku za mwisho za dunia.