#COVID19 Cuba yasema chanjo yake ya COVID-19 inayoitwa Abdala ina ufanisi wa 92.28%

Kama Watanzania wote watapigwa chanjo mie ntakua wa mwisho kupigwa kwanini?
Sina imani na chanjo kilicho tegenezwa kwa mda mfupi, kuja kuona side effect (madhara yake) ni baada ya miaka mitano, chanjo kwa kawaida inategenezwa na kufanyie majaribio kwa mda usio pungua 5-10 yrs.
 
Chanjo hii imepewa jina la Abdala kurejea shairi maarufu linaloitwa Abdala lilotungwa na mwanasanaa shujaa wa mapinduzi ya Cuba, Jose Marti. Shairi hili linamuelezea kijana Abdala ambaye ana furaha yake ni kupambana na adui muonevu aliyeivamia nchi yao.

'Mother, love of the homeland

is not a ridiculous love of its earth,

nor of the grass that our plants tread;

it is the invincible hatred of those who oppress her,

it is the eternal resentment of those who attack her.

That love awakens in our chest

the world of memories that call us

to life again, when the blood,

of the wounded soul gushes forth with anguish”



Hivyo Abdala ni alama ya mapambano dhidi ya adui nchini Cuba. Kwa Wacuba, magonjwa ni adui mkubwa kwa taifa lao kuliko adui mwenye bunduki, ndio maana wamewekeza sana kwenye sekta ya afya.

Jose Marti ni shujaa wa taifa lao na Amerika kusini kwa ujumla.




Hilo ni sanamu lake Huko Cuba.



Hizi ni note zenye picha yake.

 
Mi nashauri chanjo ianze kwanza kwa mama pale ikulu apigwe kwanza yy,halafu na wengine pale pale ikulu,halafu tuwa check maendeleo yao kwa miaka 2,tukiona bado wanadunda Basi ndo uruhusiwe kwa raia kwa hiari.
 
Ipo Uganda hujaisikia hii?

Sikuisikia hii mkuu,mbona ss hawaja itangaza au WHO,Kama kawaida yao wamewabania! Tukitaka kuwaweza hawa WHO ni itengenezwe chanjo moja kwa kushirikiana nchi zote Africa,tuwe na chanjo ya kwetu moja tu.hapo tutawini lkn Kama kila ka nchi kanatengeneza ya kwake ni inshu,plus nchi zetu hatuna viongozi wazalendo na majasiri wanaoweza kuwavimbia wazungu.cuba ni wababe longtime ago,so hawa jamaa wakikubaliana Jambo Basi hakuna anayeweza kuwatikisa hata iweje.
 

Mkuu haya mambo mengine si kujimwambafy tu kama yale ya Madagascar, Nyungu, Covidol au Bupeji?

Hii mbombo isikie tu. Ukisikia mbombo nkafu basi ndiyo kama hii.

Huoni wadau hata Abdalla hawataki kumsikia? Banyani au beberu mchukie tu ila kiatu chake, dawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…