Dada Asha
1. Kuna agenda na slogans.CHADEMA wana detailed plans au slogans na propaganda like literature?
2.Hata kama wanazo, kama watu hawazijui it is as good as hawana.Hapo ndipo point yangu ya publicity inapokuja. CHADEMA wana gazeti au redio? Wana programu gani kuwaelimisha wananchi nchi nzima kuhusu agenda zao? Sijasikia sana na ndiyo maana hata kama agenda zipo mtu kama Game theory anaweza kuwa justified ku doubt na kufikiri ni chama cha personalities, jingoism na Mremaism.
GT,
Well articulated, however you still miss the core points or objectives of my opinions. Is opposition weak? Yes extremely! Is CCM bad? Yes severely! Will there be a suprise like Venezuela regardless of mkono wa mtu as Mayu Kitila stated? Definately!
So your argumentative discection of my opinion, while credible, but you still miss my point. We can learn a thing or two from Venezuela and move forward with Gurudumu!
Aeeehe Jamani..binadamu hatosheki....hata ukimpa nini... milele hatadhirika aeeehhh. CHADEMA walikuja na sera ya majimbo, CHADEMA wakaja na kupambana na ufisadi, CHADEMA wakaja na kutaka rasilimali ziwanufaishe watanzania waliowengi. Sijui zote hizo sio ajenda?
Au ndio Game Theory zenyewe hizo?................Are playing mind GAME or just THEORY? Mara oooohh wapinzani hovyo mara eeeh CHADEMA is doing well for the moment? Nakubaliana nawe kuwa CHADEMA inatia matumaini.
Asha
Mkuu Dua,
Pamoja na kuwa mtoto hazaliwi na kuanza kukimbia kumbuka kuwa anazaliwa mwili mzima(whole) sio mguu leo, mkono unatoka kesho, kichwa mtondogoo... halafu anakua au unasemaje?
. CHADEMA are doing well at the moment; but as long as they are the third party they can't get to be the governing party in one leap.CHADEMA strategy for some time has been to replace the CUF as the main opposition party and then get into power. This is probably the best option (though it might not work of course due to a large constituency of CUF) in Pemba