mi sijakuelewa unachokizungumza hapa...Mnashindwa ku-analyze hata vitu kama hivyo. Jee vingine itakuwaje????
This is repeated pattern whenever elections are near wanasiasa [siyo chama kimoja] wanatengeneza matatizo haya kwa sababu zao ambazo wakati mwingine hata ukaondoa uhai wa wananchi na wao wengine wakaenda majuu au sehemu nyingine salama.
KATIKA VITA VYA TEMBO ZINAZOUMIA NI NYASI NA MITI wakati wote dont you get it?? usianze ahh CCM ukasahau wako CUF pia. Uhai wao kwa kiasi kikubwa uko pemba wakishindwa hata kwa robo itakuwa aibu sana. Jamani tujaribu kuanalyze mambo objectively.
Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!Toaneni macho tu shauri zenu. Si mnataka kujitenga? Hatuwapi favour tena ya kuwasuluhisha. Nyie malizaneni tu tuone seif na Karume watatawala nani.
Sisi tunasubiri mwaka 2010 bara tupate viti 100 vya upinzani, iwe isiwe tena bila fujo.π
Malecela katupa mbinu tayari, tena ambazo hata sisi m hawazijui.
Kheeeee heeeeee Kheeee..Eeh!Nai laumu CCM na ZEC kwa hili kutokea .Nashangaa kwa nini watu wanaogopa kushindwa ama kuacha kukiri kwamba maeneo hayo si yao .
Toaneni macho tu shauri zenu. Si mnataka kujitenga? Hatuwapi favour tena ya kuwasuluhisha. Nyie malizaneni tu tuone seif na Karume watatawala nani.
Sisi tunasubiri mwaka 2010 bara tupate viti 100 vya upinzani, iwe isiwe tena bila fujo.π
Malecela katupa mbinu tayari, tena ambazo hata sisi m hawazijui.
Sasa nyinyi kwa kurudishia makofi mmefaidi lipi? Kila siku kilio ni kile kile 'oh baba angalia MF kanipiga!'Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!
Hao usalama wa taifa waache upuuzi wao, watu hawana time na ujinga wao.
Mkuu, ukianza huo mchezo wa kurushiana makofi, nchi yote hii itageuka kuwa Pemba.. unataka tuelekee huko?Nyie (Chadema) na CCM mafisadi lenu moja, ndo maana mlipoporwa ushindi kule B'Mulo, mmenyamaza kimya hata kofi hamjarusha!!!!