Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
siku ya kufa nyani.Aisee Wacongo hawana bahati hii game, ni mwendo wa kukosa hovyo tu na penalt wameipeleka halijojo
andika CAF,iyo CUF uliyoandika ni ya Lipumba.
siku ya kufa nyani.
Ni SIASA na sio SIYASA.Modes watafanya yao. Siyasa zimetuvuruga wabongo[emoji23][emoji23]
Ni SIASA na sio SIYASA.
Umeishia darasa la ngapi wewe pimbi??
Ukiitwa nyumbu inabidi umaindi, ila ukiitwa pimbi piganaNi SIASA na sio SIYASA.
Umeishia darasa la ngapi wewe pimbi??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwanini mkuu?Ukiitwa nyumbu inabidi umaindi, ila ukiitwa pimbi pigana
Pimbi ni pimbi kweli[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwanini mkuu?
Dah ! We jamaa unatisha!Ra Ine B Kunguru wa Zenj wewe
Iyo pitch sasa
Lipumba akipitia hapa anaweza zua balaa.andika CAF,iyo CUF uliyoandika ni ya Lipumba.
Mazembe hao nusu fainali...Aisee Wacongo hawana bahati hii game, ni mwendo wa kukosa hovyo tu na penalt wameipeleka halijojo