Vyama gani makini? Vyama vingi inaonekana vimeanzishwa kugawa kura za upinzani,sasa hivyo vyama unavyovizungumzia wewe ni vp?CCM ikitoka tunaunda coalition ya vyama makini navyo vinajulikana na vingine vitaundwa ili kuripea demeji ilisababishwa na CCM ya yawamu ya tano
CHADEMA ACT Wazalendo mabingwa wa siasa za HAKI na ukweli hapana longolongoVyama gani makini? Vyama vingi inaonekana vimeanzishwa kugawa kura za upinzani,sasa hivyo vyama unavyovizungumzia wewe ni vp?
Ni wale wanaonufaika moja kwa moja na huu mfumo mbovuSuala la ccm kuiba kura au kutumia mbinu ambazo si halali ili kushinda hilo linafahamika ila bado kuna wapenzi wengi tu wa ccm.
Hawa akina mama au hawa wazee kwa mfano wanafaidikaje? hujaona kijijini mtu anaishi nyumba ya udongo ila ana bendera ya CCM?Ni wale wanaonufaika moja kwa moja na huu mfumo mbovu
ACT gani tena wakati Lissu alishasema hicho chama hakijawahi kuwa chama cha upinzani, ilikuwa hivyo hivyo kwa Cuf leo kinaonekana chama cha upinzani kesho wanaonekana wameungana na CCM kuna muda wakaambiwa wamefunga ndoa na CCM.Chadema ACTwazalendo mabingwa wa siasa za HAKI na ukweli hapana longolongo
Hao ni laana zinawasumbuaHawa akina mama au hawa wazee kwa mfano wanafaidikaje? hujaona kijijini mtu anaishi nyumba ya udongo ila ana bendera ya ccm?
Kwahiyo ni Chama cha ngumiAct gani tena wakati Lissu alishasema hicho chama hakijawahi kuwa chama cha upinzani
Na ndio wengi na ndio mtaji wa CCM, wizi wa kura wa CCM kujihakikishia ushindi unaanzia baada ya huo mtaji.Hao ni laana zinawasumbua
Mfumo umewaloga wengi snNa ndio wengi na ndio mtaji wa ccm,wizi wa kura wa ccm kujihakikishia ushindi unaanzia baada ya huo mtaji.
Sio kurogwa hakuna upinzani makini.Mfumo umewaloga wengi sn
Sasa wewe na Lissu nani anajua zaidi? nakutajia Lissu ili ndio ukubali maana mie nikisema hutonisikiliza,sasa Lissu mwenyewe ambaye wanajuana huko anasema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzaniKwahiyo ni Chama cha ngumi
Lissu hamumuwezi chagueni mafuvu mnayoyawezaSasa wewe na Lissu nani anajua zaidi? nakutajia Lissu ili ndio ukubali maana mie nikisema hutonisikiliza,sasa Lissu mwenyewe ambaye wanajuana huko anasema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani
Nani kakudanganya CDM ni cha upinzani??Upinzani upi? maana kila chama ni pandikizi kasoro CHADEMA tu,ndio tuseme kwamba Tz tukizungumzia upinzani tuna maanisha CHADEMA tu?
Unamanisha yule mwoga wa maluweluweee?? Hadi anaenda kujificha ugaibuniiiii???Lissu hamumuwezi chagueni mafuvu mnayoyaweza
Mtahangaika sana na IQ zenu hafifuUnamanisha yule mwoga wa maluweluweee?? Hadi anaenda kujificha ugaibuniiiii???