MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 785 Sep 2, 2010 #1 Dobo, Tafuteni kwanza taarifa za kueleweka na uhakika, wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 7,500/= kwa kilo moja ya kahawa na siyo 700/=kama anavyodai DUNI. Source: Coffee Board & Coffee Auction - Moshi
Dobo, Tafuteni kwanza taarifa za kueleweka na uhakika, wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 7,500/= kwa kilo moja ya kahawa na siyo 700/=kama anavyodai DUNI. Source: Coffee Board & Coffee Auction - Moshi
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Sep 2, 2010 #2 sasa duni kachapia au mareporter wamechapia ?