Katika utafiti uliofanywa kwa muda mrefu na vyombo vya habari vya kimataifa, inaonesha kwamba CUF itapata ushindi mkubwa Zanzibar. Vyombo hivyo vya kimataifa bado vinajiuliza je CCM, wataachia Madaraka?
CCM ni chama pekee ambacho kinaongoza kwa muda mreufu katika nchi zinazofuata mfumo wa vyama vingi. Nchi nyingi za kimataifa zinataka CUF ipewe madaraka Zanzibar iwapo watashinda, ili iwe changamoto kwa CCM.
Je CCM wataachia Madaraka Zanzibar? Je CUF wamejiandaa na mpango gani kama hawatopewa Nchi na CCM?