tusiposhiriki ni nini kitatokea, watafuta chama au, mambo ya kibabe yashapitwa na wakati ndugu, kumbuka unaowafanyia ubabe ni binadamu sio mbuzi nao wana akili vile vile, washasema hawataki we unawalazimisha, matokeo tayari mnayo kuwa ccm lazima iwe mshindi, piga ua galagaza, sasa uende kufanya nini si kupotezeana muda tu kama mara ya mwanzo tumepigwa na jua kisha anakuja tu anaamua bila kufata vipengele ati kafuta matokeo, hii zec ni ya mtu 1 tu na sio wote, na ukitoka hapo unaenda kabisa msikitini kusali sidhani ka Mungu atakusamehe dhambi unayofanyaBila wasiwasi naamini wanachama wa vyama vyote vya siasa Zanzibar watashiriki uchaguzi wa marudio pamoja na shinikizo la viongozi wao waliotaka ushindi wa mezani.
Hakuna atakaye au mwenye uwezo wa kumlazimisha/kumahawishi mpiga kura kufanya hivyo. Ila mpiga kura atafanya hivyo kwa hiari yake kutimiza wajibu wake kikatiba na pia kumchagua kiongozi anayeamini anafaa.tusiposhiriki ni nini kitatokea, watafuta chama au, mambo ya kibabe yashapitwa na wakati ndugu, kumbuka unaowafanyia ubabe ni binadamu sio mbuzi nao wana akili vile vile, washasema hawataki we unawalazimisha, matokeo tayari mnayo kuwa ccm lazima iwe mshindi, piga ua galagaza, sasa uende kufanya nini si kupotezeana muda tu kama mara ya mwanzo tumepigwa na jua kisha anakuja tu anaamua bila kufata vipengele ati kafuta matokeo, hii zec ni ya mtu 1 tu na sio wote, na ukitoka hapo unaenda kabisa msikitini kusali sidhani ka Mungu atakusamehe dhambi unayofanya
aaa hivyo ndio mulivyopanga huko kwenye usalama wa taifa si hesabu mushazipanga sasa hamad rashid mumempa pasenteji ngapi 10 auUkweli wa uzi huu, utatimia kesho!, wengi mtakishuhudia hiki ninachokisema, nimesema kuwa CUF kushiriki uchaguzi huu sio hiyari ni lazima!, kesho itafika na mtashuhudia CUF kama chama kikishiriki kwa lazima, kitake kisitake!, majina ya wagombea wao tayari yapo kwenye karatasi za kura!, na kesho watu watajitokeza, watawapigia kura, tofauti na uchaguzi wa October, matokeo ya uchaguzi wa kesho, CUF watashindwa vibaya sana, infact watapigwa chini rasmi!.
Tusubiri tushuhudie hiyo kesho.
Pasco
wapiga kura si usalama wa taifa auNii katika kukumbushana tuu kuwa CUF itashiriki kikamilifu katika uchaguzi wa marudio!. Karatasi za kura zipo, picha zao na majina yao yapo, wagombea wapo, na wapiga kura pia wapo,
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, watu wajitokeze kwenda kupiga kura!.
Pasco
Fikra za ndan ya chupa ya kichama hiiaaa hivyo ndio mulivyopanga huko kwenye usalama wa taifa si hesabu mushazipanga sasa hamad rashid mumempa pasenteji ngapi 10 au
Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote
exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?
aaah kumbe Hamad Rashid mumempa 30% na wawakilishi wangapiHabari,
Naona niweke hili wazi kutokana na mwenendo wa siasa ya zanzibar inavyoendelea.
Inaonekana Chama kikuu cha upinzani Cuf wamelewa sifa kutokana na nafasi waliyopewa mwanzo na kufikia hatua yakutaka kushika msukani kwa nguvu ya umma, wakasahau fadhila.
Baada ya upigwa wa kura siku ya kesho na ccm kujichukulia ushindi mnono, hapo ndipo mtakapo ona chama kipya kilichopata ushindi wa zaidi ya 30% nao kula bata walilokula wakila CUF.
Kufa kufaana, poleni saana wana CUF na wapinzani wenye nia ya dhati wote Tanzania.
Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!.
Pasco
Hata kama unatoa ushauri sidhani kama unahaki ya kumalizia kama ulivomalizia eti "Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!." Huu ni upunguani wa fikra. Zanzibar ilikua dola yenye silka na tamaduni zake kujidai kuropokwa maneno eti CUF walimtia vidole machoni JK kwa kuwachia kufanya mabadiliko ya katiba mwaka 2010 inatupa imani na kututhibitishia CHUKI ULIZONAZO DHIDI YA ZANZIBAR na watu wake. Kamwe Zanzibar haitakua Kilimanjaro au Mwanza! ilikua nchi, bado ni nchi na itaendelea kuwa nchi, japo watu kam wewe unojiita pasco unaonesha CHUKI NA NYOYO ZA FITNA KWA ZANZIBAR, INSHAAALAH ipo siku historia itajirudia. Kumbukeni hata Mwingereza ametawala Dunia kwa karne na karne lakini yako wapi! YAGUJU, CHUKI ZENU WATANGANYIKA JUU YA ZANZIBAR IPO SIKU SITAKWISHA HATA KAMA NI BAADA YA KARNE, ZANZIBAR IPO SIKU ITAKWAMUKA TU.
Batili kwa mujibu wa nani???Uchaguzi wa marudio Zanzibar ni batili