Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Rashid) awe ni mgombea mwenza. Nafkiri kuna haja ya Lipumba kuamua kujitoa katika nafasi anayotaka kugombea. Kuna haja gani ya kugombea ili hali anajua kabisa anasindikiza tu? Ni mawazo tu, tunaweza kujadili hapa, pengine hoja zetu zitamfanya Lipumba atangaze kujitoa na kumuunga mkono Dr Slaa.
can you explain why NOT the other way round??
Nadhani haya ni maoni yako binafsi naomba usiwajumuishe na wengine....mapenzi yako kwa Dr. Slaa hayapaswi kukufanya uache kuwa'analyse wagombea wengine.Though there are several reasons; I will only give one and I believe there are many others who are going to list the rest.
1. Lipumba is not the choice of Tanzanians, he has tried the post three times from 1995 this will be the fourth time, without success. What does he think can change this year, that was not possible to change in all the other years he contested? By the way, people are already used to him and at present they (including me) regard Lipumba as a funny guy who doesn't know how to synthesize and analyze things before he make a decision.
2 ..............................
3 .............................
Kama sikosei, CHADEMA waliunga mkono mgombea wa CUF mwaka 1995 na 2000. Sina hakika so I stand to be corrected
can you explain why NOT the other way round??
it is time for change kila siku Lipumba na Seif
lipumba ajifunze kwa mbowe, Lipumba should do the honourable thing and vie for Ubunge
Hivi vyama vikishirikiana vitakuwa na nguvu zaidi kulikoni chama kimoja kimoja
Nadhani haya ni maoni yako binafsi naomba usiwajumuishe na wengine....mapenzi yako kwa Dr. Slaa hayapaswi kukufanya uache kuwa'analyse wagombea wengine.
Hamna mtu anampenda Lipumba labda wazee wa itikadi kaliNadhani haya ni maoni yako binafsi naomba usiwajumuishe na wengine....mapenzi yako kwa Dr. Slaa hayapaswi kukufanya uache kuwa'analyse wagombea wengine.
CHADEMA na CUF waunde kamati za viongozi wa juu kujadiliana kwa muda maalumu, tuwape kama wiki 2 hivi kuhusu swala la kuunganisha nguvu katika kugombea urais na wabunge. Swala la nani awe mgombea tuiachie kamati hiyo. Ila kwa mawazo yangu tu na upepo wa uchaguzi unavyoonekana Dr. Slaa na Rashid would be a formidable ticket... So, Wakati ni huu, let Chadema approach CUF and not just wait with open doors!
...Hivi Ndugu yangu una sababu gani za Kumchukia Prof.Lipumba?...sasa kama Mtu humpendi unaweza kuungana nae?...na hata ukiungana nae yatakuwa si Mapenzi ya dhati...!!!Hamna mtu anampenda Lipumba labda wazee wa itikadi kali