Hivi wewe na Malaria Sugu mna tofauti gani?...ni Vema ukawatanabaisha wananchi vizuri DINI ya CUF ni ipi ili wawe makini wakati wa Uchaguzi.sio lazima kuungana ila cuf wanaweza tu kujitoa kwani hakuna haja ya wao kugombea urais labda kule visiwani......................kumbuka cuf ni chama cha kidini mno kwa hiyo hawawezi kuchanganywa hawa kwani wao wanafikiria kitu kimojas tu wakishika dola yaani....oic na mahakama ya kadhi..........
wacha wafe peke yao tuachieni chadema yetu ikiongozwa na mkuu sana DR.SLAA...Nami mimefurahishwa sana na uteuzi huu wa chadema
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Rashid) awe ni mgombea mwenza. Nafkiri kuna haja ya Lipumba kuamua kujitoa katika nafasi anayotaka kugombea. Kuna haja gani ya kugombea ili hali anajua kabisa anasindikiza tu? Ni mawazo tu, tunaweza kujadili hapa, pengine hoja zetu zitamfanya Lipumba atangaze kujitoa na kumuunga mkono Dr Slaa.
Coalition ya CUF na CHADEMA litakuwa ni wazo zuri kabisa; lakini sjui kama wanasiasa wa kwetuwatakubaliana na wazo hilo hasa kwa vile kuna element ya ruzuku ambayo hukokotelwa kutokana na kura za uchaguzi mkuu.
Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
Mawazo kama haya ndio hutusambaratisha zaidi.. CUF inatetea maslahi ya Zanzibar zaidi ambako asilimia 90 kamasii zaidi ni waislaam basi tayari kimeisha kuwa chama cha Waislaam. what about Chadema ukikitazama kwa jicho kama hili utasema ni chama cha kina nani after all tumemsimamisha mtu ambaye CUF wanaweza kutumia karata hiyo hiyo ya Udini tukapoteza mwelekeo kabisa..Jamani pleeeease!Mkuu kuungania ni vizgumu sana, lakini kushirikiana naona kuna uwezekano. Na uwe ni ushirikiano wa kweli usiwe wa opportunity uwe wa necessity. Kama Lipumba anaamua kumuunga kono Slaa basi CUF wakubali kumpigia kampeni.
Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
sio lazima kuungana ila cuf wanaweza tu kujitoa kwani hakuna haja ya wao kugombea urais labda kule visiwani......................kumbuka cuf ni chama cha kidini mno kwa hiyo hawawezi kuchanganywa hawa kwani wao wanafikiria kitu kimojas tu wakishika dola yaani....oic na mahakama ya kadhi..........
wacha wafe peke yao tuachieni chadema yetu ikiongozwa na mkuu sana DR.SLAA...Nami mimefurahishwa sana na uteuzi huu wa chadema
can you explain why NOT the other way round??
Ni kweli mzee Julie79 bora tuchague tu Padri Slaa, kwani huyu ni mkristo mwenzetu!
Umesema ukweli kabisa yaani hatuhitaji mwisilamu kabisa kwenye serikali yetu. bwana asifiwe.
Mkuu sina uhakika kama CUF ni chama cha kiislam. Ukisema hivyo unataka kusema CHADEMA pia ni chama cha Kikrito? Kama CHADEMA ni chama chenye wakrito na waislamu basi haitakuwa shida kwake kuwa na umoja na CUF ambayo pia ina wakristo na waislamu. Sidhani kama wanachama wote wa CUF ni waislam, ila naamini kwamba vyama hivi vinazidiana kwa idadi ya wanachama wa dini hizo mbili. CUF ikiwa na waislam wengi zaidi na huku CHADEMA ikiwa na wakrito wengi zaidi lakini vyote vikiwa na wanachama wa dini zote. By the way makamu mwenyekiti wa CHADEMA ni muislam kama sikosei. Sasa ni nini kitazuia wasiungane? Na zaidi ya yote, hapa kinachoangaliwa si dini bali ni potentiality ya watu waliopo katika hivyo vyama viwili katika kuliletea taifa maendeleo ya kweli.Mkuu kuungania ni vizgumu sana, lakini kushirikiana naona kuna uwezekano. Na uwe ni ushirikiano wa kweli usiwe wa opportunity uwe wa necessity. Kama Lipumba anaamua kumuunga kono Slaa basi CUF wakubali kumpigia kampeni.
Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
Ni kweli mzee Julie79 bora tuchague tu Padri Slaa, kwani huyu ni mkristo mwenzetu!
Umesema ukweli kabisa yaani hatuhitaji mwisilamu kabisa kwenye serikali yetu. bwana asifiwe.
naona majadiliano yaliyoko katika hii topic ni udini na pumba nyingi! moderator bora ukaifuta hii topic