Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Natoa rai kwa vyama vyote vyenye wajumbe ndani ya bunge la katiba mpya (except ccm), pamoja na wajumbe wenye mapenzi mema na nchi hii kususia vikao vya bunge la katiba pale tu itakapokuwa imethibitika kuwa Mkuu wa kaya katoa mwongozo wa kuratibu utumiaji wa kura ya wazi. Jiondoeni ili tuelewe wazi kuwa katiba inayoandaliwa ni ya ccm wala si Watanzania.