Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Mkuu wataweza? 300000 kwa siku sio mchezo mkuu! Watu wako mjengoni kwa mshiko na sio kwa maslahi ya taifa hata kidogo! Katiba mpya ni ndoto, mchana kikwete anasema hivi, katiba ni ya wananchi, usiku anasema katiba ni ya wanaccm!
Naunga hojaNatoa rai kwa vyama vyote vyenye wajumbe ndani ya bunge la katiba mpya (except ccm), pamoja na wajumbe wenye mapenzi mema na nchi hii kususia vikao vya bunge la katiba pale tu itakapokuwa imethibitika kuwa Mkuu wa kaya katoa mwongozo wa kuratibu utumiaji wa kura ya wazi. Jiondoeni ili tuelewe wazi kuwa katiba inayoandaliwa ni ya ccm wala si Watanzania.