Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM.
Hali hiyo inamaanisha kwamba,
vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya upinzani nchini, ndivyo vitakavyoipa CCM changamoto kwenye sanduku la kura katika uchaguzi mkuu wa October, kwasababu ndivyo vyama vya kidemokrasia vilivyodhamiria kushiriki uchaguzi mkuu huo kikamilifu kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Licha ya kushiriki uchaguzi huo, ni wazi, kwa maandalizi wanayoyafanya mpaka sasa, na athari za usaliti zinazowatafuna tangu kusambaratika kwa UKAWA, vyama hivyo vya siasa, sioni dalili hata moja kwamba vinaweza kushinda hata kiti kimoja cha udiwani au ubunge. Na hata chadema wangeshiriki uchaguzi huo, hali ingekua ni hiyo hiyo.
Ndugu zangu dau wa siasa katika jukwaa hili la heshma sana, kwa tathmini zenu fupi sana, na kwa kuzingatia ushawishi wa vyama hivyo kwa wananchi, unadhani katika ujumla wao, wanaweza kupata zaidi 3% ya kura zote baada ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu2025?
Na kama wanaweza, ni kivipi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania