CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Oct 25, 2020 #1 TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!