Si demokrasi kufanya uhalifu kwa kisingizio chochote!!!
mh mh hii mbaya sana!wandugu,
nimepata tetesi kuwa huko tandahimba hakukaliki baada ya tume kuchakachua matokeo na hadi tunapoongea hapa tayari watu 9 wamepoteza maisha.
Je, habari hizo ni za kweli? Someone feed us maana nimeisikia juu juu!!
Wandugu,
Nimepata tetesi kuwa huko Tandahimba hakukaliki baada ya Tume kuchakachua matokeo na hadi tunapoongea hapa tayari watu 9 wamepoteza maisha.
Je, habari hizo ni za kweli? Someone feed us maana nimeisikia juu juu!!
hizo sio taarifa za kweli,rabsha zilikuwa cku ya kutangazwa matokeo tu,but now hali ni shwari!