CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27
"Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa Chama Chetu na ndiyo siku Wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo watachagua Mgombea Urasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar"
Mpaka sasa wamejitokeza Wanachama watano watano wanaowania Urais kwa upande wa Zanzibar na Upande Tanzania Bara amejitokeza mmoja mpaka hivi Sasa