Uchaguzi 2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

Miaka ya giza ilinufaisha wengi sana, naamini hata Nchonga ingekuwa zama hizi angeumbuka mengi tu.

Eti lipumba mshauri IMF na WB mambo ya kiuchumi, kumbe porojo tu dadadeeki!!
 
Miaka ya giza ilinufaisha wengi sana, naamini hata Nchonga ingekuwa zama hizi angeumbuka mengi tu.

Eti lipumba mshauri IMF na WB mambo ya kiuchumi, kumbe porojo tu dadadeeki!!
Nchonga mwenyewe angenyoosha mikono juu tu.

Hahah kuja kujua kumbe Prof. anagombea lile jengo lao pale buguruni mpk anaogea humo humo ofisini akiogopa akitoka tu wakina Maalim wanalichukua jengo lao,hahah.
 
Mbona huyu Juma Kilaghai ana kauli za kilaghai namna hii!!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…