M Mamboleo Member Joined Oct 15, 2008 Posts 69 Reaction score 38 Nov 1, 2010 #1 Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim)
Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim)
Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 239 Nov 1, 2010 #2 Huyo Jussa ni nafasi ya uwakilishi, siyo Ubunge.
K kisoti Member Joined Aug 20, 2009 Posts 81 Reaction score 9 Nov 1, 2010 #3 Mamboleo said: Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim) Click to expand... Punguza mzuka kijana. Kwa mujibu wa ITV inaelekea CUF kushinda ila bado hayajatangaza rasmi
Mamboleo said: Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim) Click to expand... Punguza mzuka kijana. Kwa mujibu wa ITV inaelekea CUF kushinda ila bado hayajatangaza rasmi