P PapoKwaPapo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 380 Reaction score 45 Nov 1, 2010 #22 samora10 said: kaka mbona that was obvious? sasa tunafukuzia majimbo ya unguja so far tun a moja tayari kibindoni Click to expand... hatufukuzii mpaka sasa CUF wanajimbo moja unguja
samora10 said: kaka mbona that was obvious? sasa tunafukuzia majimbo ya unguja so far tun a moja tayari kibindoni Click to expand... hatufukuzii mpaka sasa CUF wanajimbo moja unguja
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #23 JK upeo ni mdogo alishindwa kusoma alama za wakati.....sasa yamemfika.......................
A Abdallah M. Nassor JF-Expert Member Joined Mar 20, 2008 Posts 600 Reaction score 620 Nov 1, 2010 #24 mwaka wa ukombozi ndio huu
MTWA JF-Expert Member Joined Aug 5, 2009 Posts 1,166 Reaction score 168 Nov 1, 2010 #25 Hebu tupeni data za ukweli, tunataka shein atoke, na hapo lazima mabadiliko ya kweli yatakuja!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Nov 1, 2010 #26 Ustaadh said: Kwa matokeo rasmi ya zanzibar bofya Zanzibar Referendum -- 31 July 2010 Click to expand... Hiyo website ya kifidhuli.. Sasa ina kazi gani ikiwa haiweki matokeo kadiri ya yanavyokuja??
Ustaadh said: Kwa matokeo rasmi ya zanzibar bofya Zanzibar Referendum -- 31 July 2010 Click to expand... Hiyo website ya kifidhuli.. Sasa ina kazi gani ikiwa haiweki matokeo kadiri ya yanavyokuja??