Naona jibu langu ukulipenda sio, nimekwambia kuwa siku ya sabato inategemea na imani yako. Kuna wanao adhimisha siku ya Jumamosi na wale wa Jumapili na vile vile inategemea na sabatho unavyo itafsiri... yaweza kuwa siku yoyote ya mapumziko katika karenda ya mwaka.Inaonekana kuwa hili swali hutalijibu kwa leo. Ningekushauri urudi shule ukasome mazee.
Dah! umeniita Mujahidina, nimefurahi sana... thanx.Analijua vyema huyo mujahidini. Aliingia kichwa kichwa kwenye mada na sasa imekuwa ya moto.
Naona jibu langu ukulipenda sio, nimekwambia kuwa siku ya sabato inategemea na imani yako. Kuna wanao adhimisha siku ya Jumamosi na wale wa Jumapili na vile vile inategemea na sabatho unavyo itafsiri... yaweza kuwa siku yoyote ya mapumziko katika karenda ya mwaka.
Jamiiforums=Chadema or Jamiiforums= kwa wote
???????????????????????????????????????????????
Jumamosi ni siku ya sabato kwa wakristo wenye kuadhimisha siku ya sabato... Ili jibu la sabato lilikuwa ni la masanilo naona wewe umelivalia njuga ila umesahau alipo waita chama cha CUF (japo mimi si shabiki wao) kuwa ni wadini kwa kuanza campain zao siku ya Ijumaa.Good, kwa hiyo kwa maelezo yako, CHADEMA kuzindua kampeni zao kesho (jumamosi) haina uhusiano wowote na sabato.
Jumamosi ni siku ya sabato kwa wakristo wenye kuadhimisha siku ya sabato... Ili jibu la sabato lilikuwa ni la masanilo naona wewe umelivalia njuga ila umesahau alipo waita chama cha CUF (japo mimi si shabiki wao) kuwa ni wadini kwa kuanza campain zao siku ya Ijumaa.
wengi ni waimbaji wa taarabu na kidumbakiSaidi Miraji anammwagia sifa za kutosha tu za Prof Lipumba....
WanaCUF kwa kupepeta mdomo nawasifu!
Mambo mengine yanatia Kichefu chefu...!Kadi umerudisha ama inakuwaje? (najua una mbili CCM na CUF kama wenzako)
madrassa al sul
madrassa al sul[/Qote
unaakili za kushikwa mkono.Sorry mkuu
Jamani liacheni hilo Rev. Masanilo... Hayo ni matatizo ya kuwa chakula cha mapadri for too long!
Ni bora atawale fisadi kuliko hawa Wagalatia wasiokuwa na akili!