Inavyosemekana habari chini ya kapeti kuna mgogoro mkubwa unaendelea ndani ya chamaKila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende.
Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
Lipumba amefanikiwa jujiua kisiasa yeye mwenyewe.Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende.
Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
Hana hela maana chama hakina ruzuku
Nadhan ulimaanisha kipaimara..Ipo imara.