.
Wanachama wa CUF 290 katika Kata ya Mwandege Mkuranga wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Kata Hassan Mnamba na aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum Salma Rashid wamekihama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti Dorothy Semu
CUF ilikuwa ya maalim seif sharif hamad, hii ya sasa hata ukiitishwa uchaguzi mkuu kesho itaambulia patupu, waipishe ACT wazalendo itamalaki. CCM ndiyo baba lao CHADEMA ijifunze