Miongoni mwa wanasiasa feki huyu professor Pumba ni moja wapo, sijui huo usomi wake aliupataje huwa anajidhalilisha sana ,tena ni mlaini kununuliwa hata rejareja. Kadri siku ziendavyo mtazidi kumjua sie tulishamuona hata kabla ya walio nae wengine hawajazaliwa, miaka ile ya 1990 enzi za James Mapalala huyu hakuwa MTU wa kuamini hata one second!!!Cuf ni mali ya lipumba Kama wao wamechoka tunawakaribisha Act -wazalendo
Analindwa na wasiojulikana..na kwa malengo maalum...HATOKIWANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile walichokiita 'Usaliti wa Lipumba kwa chama hicho'.
Wamesema kutokana na mwenendo wa vitendo vyake vyenye kila dalili za kukihujumu chama chao kwa makusudi imefika wakati anatakiwa kuondoka ndani ya chama kwa namna yoyote ile ili chama kiendelee na utekelezaji wa agenda zake za kutetea masrahi ya wananchi kwa mujibu wa katiba.
Arudishe malipo tuliyompatia na akubali tumuondolee ulinziAjitoe ili kukinusuru chama.
Juzi nilikua tanga nikaambiwa ile redio mwambao ambayo cuf wanaimiliki na alikua akiisimamia kambaya kwasasa ipo chini ya mama nuru na kwamba kambaya si lolote si chochote tena ndani ya cuf heehee nasikia chama sahivi hakina hela kila mtu kaenda njia yake kabak lipumba na sakaya tu [emoji3][emoji3] yaan upinzani wa nchi hii jaman? Sasa huko zanzibar napo kuna cuf gan hata wajitutumue kumuondoa mwenye nyumba??WANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile walichokiita 'Usaliti wa Lipumba kwa chama hicho'.
Wamesema kutokana na mwenendo wa vitendo vyake vyenye kila dalili za kukihujumu chama chao kwa makusudi imefika wakati anatakiwa kuondoka ndani ya chama kwa namna yoyote ile ili chama kiendelee na utekelezaji wa agenda zake za kutetea masrahi ya wananchi kwa mujibu wa katiba.