Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Chama cha Wananchi CUF kimetoa wito kwa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuongeza muda wa wakuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea.
Katika tamko ambalo wamelitoa November 1, 2024 majira ya mchana ikiwa yamebakia masaa machache kwa muda rasmi uliotolewa na TAMISEMI kwa ajili ya kuchukua na kurejesha fomu kuhitimishwa, Chama hicho kimeeleza kuwa kumejitokeza changamoto kwenye mchakato huo na kupelekea malalamiko .
Kufuatia madai hayo,Mkurugenzi Wa Habari, Uenezi na Mahusiano Kwa Umma CUF, Eng. Mohamed Ngulangwa akizungumza na waandishi wa habari amesema kwamba wanashauri mamlaka kuongeza walau masaa 48 ili kutoa muda wa waliopata changamoto waweze kupata haki zao.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa