Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Ukiwa ni msimu mwengine, episode ingine ya wapendanao ambayo itaadhimishwa kesho na tukiwa tumebakiza masaa tu ni vyema kukumbushana vijana kwa wazee kuwa karibu sana na wapendwa wetu ili kudumisha upendo na hisia.
1.Tambua kuwa kuna mtu sahizi anamseti mpenzi wako n love of your life ili aweze kumchukua any minute from now😀. Kaza mwanangu.
2.Kuna raia ambaye anatarajia kuoa soon ila kesho ndio siku ya kupindua matokeo. Inasikitisha sana maana atapigwa dafrau. Sema yote maisha.
3. Kuna ambao mmeagwa kikazi siku si nyingi wengine leo kwamba kuna seminar ama mradi mkoani. Inauma sana ila haina jinsi. 🤣🤣🤣
4. Kuna mwanachuo ameandika sana assignment kwa ahadi kuwa huenda akala tunda ila bahati mbaya kesho kuna boss anapelekewa mboga kwa ahadi ya iphone 14. Jitafakari kijana maisha sio fair.
5. Lakini pia wewe mwenzangu ambaye ni mwaka wa 5 huu kuna mchongo unaskilizia, hujaweza hata kumiliki kausafiri nikukumbushe tu kuwa kuna kale kajamaa huwa kanakaimu nafasi yako kipindi mpenzio yuko ofisini haswa mida ya lunch na wakati wa kuondoka jioni huwa anamdrop na chombo maeneo ya Mwenge ni vyema tukajidhatiti ndani ya masaa machache yaliobakia.
All in all inabidi kupunguza risk wanangu kuna watu kibao ambao wanapambana kututoa madarakani 😀