nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Uongz wa cuhas umetoa siku15 kwa wanafnz ambao watakua hawajlipa ada kulpa fain ya lak1 na ktofanya mthn wa sem hii mpka mwka ujao.kwa hl mnaumiza watt wa wakulma wacokua na uwezo wa kulpa kiac kkubwa cha pesa kwa muda mfup.