nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Wanabodi salaaam,najua tuko busy na ujenzi wa taifa,lkn mara moja tukutane hapa.wale wa toka enzi za buchs,weill bugando,hadi sasa cuhas,,wote kuanzia md,pharmacy,nursing,radiology,laboratory hadi amo,,,mph na wote njoon tukutane humu....waliocurrent chuo watakua wanatupa events na matukio mbali mbali,,,,you welcome all guys and ladies