Cuhas yatoa majina ya 2nd na 3rd batch

Cuhas yatoa majina ya 2nd na 3rd batch

yeah,waliachia jana,tar 19,via [updated-boy]

I was aware that second and third round were in first come first serve cha ajabu kuna ndugu yangu aliomba Cuhas third round hawajamchagua na elegibility status ilikuwa YES!!! What went wrong?
 
I was aware that second and third round were in first come first serve cha ajabu kuna ndugu yangu aliomba Cuhas third round hawajamchagua na elegibility status ilikuwa YES!!! What went wrong?

kwani alipataje huyo ndugu yako?
 
Mtu atapataje EEE afu awe na 13pts wewe? Aya kapata hivi physics E,Chemistry D,Biology D,Bam S,G.S S

atleast hapo kwenye bios na chem angekuwa na C moja ndio wangemchukua bt hivyo labda IMTU au KAIRUKI as kuna wanangu wamechaguliwa huko kwa matokeo hayo! haya bhana tukutane pale BUGANDO COMPLEX tar 12
 
Mtu atapataje EEE afu awe na 13pts wewe? Aya kapata hivi physics E,Chemistry D,Biology D,Bam S,G.S S

Najua, ndio maana niliweka grade za mwisho E! Na huyo ndugu yetu huoni kuwa grades ni za mwisho mwisho, kwa medicine si rahisi. Anyway, kwa Kairuki atapokelewa maana nina wengi wa pass hizo wamepokelewa. Ni mzuri huyo PCB form six huwa ni ngumu kidogo huyo anafaa tu!Jaribu.
 
Hujui kucount grades ama...??
Tangu lini 3:13 akawa na E flat

Najua sana. Ndio maana niliweka grade za mwisho E, nikihisi kuwa atakuwa na grade za mwisho mwisho! Na kweli ana za mwisho, kwa medicine Bugando, Muhas si rahisis. Ajaribu Kairuki na IMTU atapata!
 
Kuna jamaa nikua nae pale jkt 824 kj alikua na 3:13 na amepata MD ya CUHAS

alipataje? maana kama CD with S ya phy nnaeza nkakuamini kidogo bt kama ni DDE hundanganyi chalieee angu!
 
Back
Top Bottom