Binti Sayuni
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 367
- 54
Haya unayoyasema wewe, alishauriwa hivyo tangu miaka 30 iliyopita tena wakamwambia aache sigara ingemuua ndani ya miaka mitano tu. Mpaka sasa anadunda na fegi anapiga mtindo mmoja. Na mwaka huu anagombea urais. Kura yangu anayo.
jamani njaa, njaa, njaa, njaa apumzike atakula nini???????!!!!!
Duh! mwaka huu anagombea uraisi hii ni mpya mkuu,misukosuko na mizunguko ya kampeni je ataihimili lakini?
Naona hapa bibi kachoka kweli.
hahahahahahahahaha .............. mama mbavu zanguuuuuu kali ya mwisho wa wiki.Ngoshwe hapa hakuna aliyechoka, hapa kushoto ni Rais wa sasa akikabidhi mikoba kwa Rais ajaye 2010; Rais Bi Kidude the orijinal.
Ngoshwe hapa hakuna aliyechoka, hapa kushoto ni Rais wa sasa akikabidhi mikoba kwa Rais ajaye 2010; Rais Bi Kidude the orijinal.