Cupping therapy - Dar es Salaam

wakuu, wapi naweza kupata cupping therapy kwa dar es salaam?
Mkuu mutant gene Ningelikuwa mimi nipo hapo Mjini Dares-Salaam ningeweza

kukupiga hiyo hijama lakini kwa sasa sipo hapo nyumbani Tanzania. Nipo Ughaibuni unaweza

kwenda Msikiti wa Mtoro au Msikiti wa Manyema kawaulize Ma-Sheikh wataweza kukwambia

nani anaweza kukfanya kazi hiyo ya kupiga Hijama (
Cupping therapy) na Sehemu za mwili

zinazo takiwa upigwe wewe hiyo Hijama anagalia hizo picha pamoja na Video hapo chini.







Ukiwa na Swali Au lolote unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:

asante mkuu kwa maelekezo yako. nitawafuatilia hizo sehemu ulizonitajia. sukran sana
 
Last edited by a moderator:
Inasaidia nini hii mkuu, Mzizimkavu
Mkuu Gamaha Cupping Therapy

au Hijama au Kupiga chuku kutoa Damu chafu mwilini ina faida sana kwa afya ya Binadamu.

Kupiga chuku Aka (Hijama) inasaidia kutibu Maradhi zaidi ya 50 yaliyoko mwilini mwa

Binadamu . Kuna Tarehe zake kwa kila mwezi unatakiwa upiga mara 1. Haswa mwezi wa 6

(June) au mwezi 7 (July) na mwezi 8 (august) au ukafuatilia tarehe za Mwezi Muandamo

(Mwezi wa Kiislam Tarehe ya kalenda ya Kiislam ) itakuwa bora zaidi Tarehe za huo mwezi


Muandamo iwe inaanzia Tarehe 16 mpaka mwisho wa mwezi Muandamo. Unaweza kupiga


miezi hiyo 3 mfululizo yaani kila mwezi unapiga mara 1 na siku ya kupiga hiyo chuku (Hijama)


unatakiwa upige saa 7 mchana. Na Siku zake kwa wiki unaruhusiwa kupiga siku 3 siku ya


Jumapili au Jumatatu na Siku ya Alkhamisi Siku zilizobakia hauruhusiwi kupiga chuku. Na

Mpigaji chuku awe ni Mtaalam mzuri asipokuwa si mtaalama anaweza kudhurika kwa hiyo

Damu inayotoka kwa anaye mpiga huyo chuku (Hijama). Kwani Damu inayotoka ni damu chafu


ya Maradhi Haya hapa chini ni Maradhi yanayotibiwa na Hijama kupiga chuku.




Disease Treated by Cupping Therapy


• Common cold and cough


• Headaches including migraine


• Breathing difficulties (asthma)


• Diarrhea and constipation


• Tonsillitis and sore throat


• Stomach ache and heart burn


• Hand, leg, neck and back pain


• Neuralgia (nerve pain)


• Athletes foot


• Skin problems including pimples, oily skin, itch, dermatitis, liver spots


• Chills at fingers and toes


• Eye problems – myopia, early cataract, conjunctivitis


• Alopecia (losing hair)


• Allergy


• Menstrual pain (endometriosis)


• Leucorrhoea (whitish/yellowish discharge due to infection)


• Infertility


• Urinary incontinence


• Hypertension (high blood pressure)


• Hypotension (low blood pressure)


• Angina pectoris (heart pain)


• Periodontal (gum) disease


• Hemorrhoid (piles)


• Osteoarthritis and gout


• Diabetes


• Kidney malfunction (pre-dialysis)


• Liver problem (hepatitis and fatty liver)


• Losing memory and dementia (Alzheimer)


• Stroke

Headaches

chanzo.What Is Cupping Therapy? Uses, Benefits, Side Effects, and More

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +90534450816
 
Last edited by a moderator:
HII TIBA INAENDANA NA IMANI?? MBONA MASHARTI YA SIKU NA MASAA? NAOMBA KUJUZWA
 
Ni bei gani na inafanyika msikitini tu na je nikitaka leo sipati hadi hiyo miezi uliyotaja?
 
Ni bei gani na inafanyika msikitini tu na je nikitaka leo sipati hadi hiyo miezi uliyotaja?
Haifanyiki Msikitini kuna Sehemu maalum wanazo piga hiyo Hijama aka kuumika Msikitini ni kama kituo cha kuulizia hiyo sehemu wanayopiga Hijama.

 
Hijama inafanywa mda wowote siku yeyote kilichopendekezwa tarehe za mwsho wa mwez n sunna tu sio amri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…