Imebidi niulize sababu nimejikuta nywele zimenyonyoka Kama nimenyolewa, banda ya kuweka curl baada ya miezi mitatu nikaweka DAWA ya movate ili nilainishe nywele coz nilikuwa nataka Kusuka yebo yebo.
Kilichotokea baada ya kufumua mungu mwenyewe anajua nywele zote zimekatika kama nimenyolewa. Imebidi ninyoe nywele zote nimebakiza za kuanzia, kutonea.
swali langu je nimeanza upya Sasa kusuka,nywele zitakua na mendeleo baada yakynyoa zote zilizo katika? Au mnanishaurije?