Current news:walimu wapya mwaka huu hakuna pesa ya mizigo na wategemezi.

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,095
Reaction score
816
Kuna pesa ya nauli tu.source=kikao kati ya walimu wapya na mkuu wa wilaya,kaimu mkurugenzi na afisa elimu mwanza jiji
 
Na nyie sasa fanyeni kama doctors!!!msitishie!!!
 
mkigoma wanafunzi wanafurahia...japo zero zitaongezeka.
 
Mabadiliko yapo lakini cyo kuondoa kabisa! Nimpaka mzigo uonekane halafu uczidi 1.5 tones kwa new appointees. Ukizidi, unapewa gari na halmashauri! Swali langu ni je iwapo wote mizigo imezidi watapewa magari hata kama kwao ni mbali sana? Ah mi cjui bana. Fomula ni (1.5 tones *1000*number of kms) ACHENI UJINGA WALIMU. FIGHT PLZ! OOHOO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…