Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Oct 2, 2012 #1 Hivi hili neno linaeleweka kweli kwenye baadhi ya TOVUTI za wizara kwenye hii serkali yetu? Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu kwenye hii sehemu walipoweka eti ni CURRENT NEWS unakuta vitu vivyowekwa hapo ni vya zaidi ya miezi sita nyuma!:A S 13:
Hivi hili neno linaeleweka kweli kwenye baadhi ya TOVUTI za wizara kwenye hii serkali yetu? Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu kwenye hii sehemu walipoweka eti ni CURRENT NEWS unakuta vitu vivyowekwa hapo ni vya zaidi ya miezi sita nyuma!:A S 13: