BJ.Sahani
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 220
- 31
kuna tetesi kuwa ukiingia kwenye a/c yako ya CAS ukiangalia "view my selection status" kuna program code moja kati ya zile tano haijaandikiwa code yake bt inaonekana kati ya zile tano, xa may be pengine ndo coz ambayo utakuwa selected,wadau hebu angalieni n profl zenu pia,bt napenda tusubiri selection yenyewe hope karibuni zitakuwa out.
NB:TETESI HIZI NI KUTOKA KATIKA PROFILE TATU ZA WANAFUNZI TOFAUTI.
......with regardz thanx.....!!
NB:TETESI HIZI NI KUTOKA KATIKA PROFILE TATU ZA WANAFUNZI TOFAUTI.
......with regardz thanx.....!!