kuna tetesi kuwa ukiingia kwenye a/c yako ya CAS ukiangalia "view my selection status" kuna program code moja kati ya zile tano haijaandikiwa code yake bt inaonekana kati ya zile tano, xa may be pengine ndo coz ambayo utakuwa selected,wadau hebu angalieni n profl zenu pia,bt napenda tusubiri selection yenyewe hope karibuni zitakuwa out.
NB:TETESI HIZI NI KUTOKA KATIKA PROFILE TATU ZA WANAFUNZI TOFAUTI.
......with regardz thanx.....!!
Jaman wadau cna maana mbaya wala kusudi la kutaka kuziweka roho za watu juu,hzo ni tetesi tu,nilitaka kujua vp kuhusu wenzangu kwenye profile zao coz kama nilivyoeleza baadhi yetu ipo hvyo pengne ni hali ya kawaida,xo wadau msinichukulie kivile,cna maana hyo kama baadhi mnavyosema hapo juu.
km kuna aliyeomba kupitia diploma naomba anijuze tafadhali..... mm mbona profile yangu ipo vile vile km mwanzo hakuna kilicho badilika vp upande wenu wenzangu
km kuna aliyeomba kupitia diploma naomba anijuze tafadhali..... mm mbona profile yangu ipo vile vile km mwanzo hakuna kilicho badilika vp upande wenu wenzangu