Jamani mbona hatuko makini kwenye kuhabarishana haswa ktk masuala ya biashara?!
Embu Elezea uko wapi kiofisi,toa mifano ya kazi zako na eleza zile ulizokwisha kuzifanya ikibidi twende tukazione kama hujawahi eleza hakuna jambo lisilokuwa na mwanzo!!
Lakini kwa mtaji huuu!Tutabaki kulalamika biashara zetu hazipendwi zinapendwa za kigeni "BIASHARA MATANGAZO"
Keep it up!