Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Kwakweli huu ndio uzoefu wangu na wengi niliyowauliza, kwenye kuhudumia wateja, wanawake wamekuwa na majibu ya hovyo na yasiyolenga kumhudumia mteja na wakati mwingine hukukatia simu wakati unajaribu kueleza tatizo lako. wanaume ni tofauti kabisa na huchukua muda wa kutosha kuhakikisha mteja umeridhika. Pamoja na haki za jinsia, ila kugawana majukumu kitengo hiki hakiwafai wanawake ni kero kwelikweli. Binafsi nina mpango wa kubadili mtu wa reception niweke mwanamme, huyu wa reception nitamhamishia kwenye kufuatilia logistics nje ya ofisi maana nimechoshwa na malalamiko ya wateja na watu wanaotembelea ofisi.
Tatio ni nini ni kisaikolojia? Jinsia? Au ni nini hebu niambieni jamani...
Tatio ni nini ni kisaikolojia? Jinsia? Au ni nini hebu niambieni jamani...