Cusstomer care na Ruka Juu

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Tumekuwa tukizungumza kwa muda mrefu kuhusu customer service hapa jamvini. Leo nimeangalia kipindi cha Ruka Juu cha ITV, kwa kweli nimekuwa impressed. Hii ndiyo elimu ambayo wajasiria mali wanatakiwa waifahamu. Kwa watayarishaji kipindi, nimependa approach yao ya 'candid camera', kwani wajasiriamali walikuwa hawajui kuwa wanakuwa recorded.
 
Hata na mimi nimeiangalia na kupata elimu fulani juu ya customer care.

Nimetokea kuvipenda vipindi vyao vinavyoelimisha vijana na sisi wazee.
 
Umeangalia ile ya wakulima lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…