Custodiaship ya watoto baada ya talaka

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
WApwaz nifahamisheni kuhusu mchakato mzima wa custodianship baada ya talaka
 
WApwaz nifahamisheni kuhusu mchakato mzima wa custodianship baada ya talaka
Kama mnabishana...........Less than 12 years wanakaa na mama.............. na above 12 years kama huna mbele wala nyuma sijui inakuwaje
 
Inashangaza wanaoishi kinyumba huelewana na inakuwa ngumu kuachana kuliko waliooana.

Marriage institution needs to be revisites, thank you.
 
Asanteni kwa michango yenu!

Freema ni kweli we need to revisit this institution
 
freema umeongea kweli tupu,kuna shida kubwa kwenye ndoa za siku hizi.something has to be done
 
bado sioni msaada wenu hapa; sheria inasemaje kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…