Customer Care mitandao ya simu mnatusikilizia matangazo nusu saa nzima

Customer Care mitandao ya simu mnatusikilizia matangazo nusu saa nzima

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake.

Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa kumsikilizisha matangazo nusu saa nzima ni haki kweli?
 
Matangazo ndio njia yao ya kujipatia kipato kama hauyataki uko tayari kuwapa au kuwachangia operating costs ili wasiweke matangazo?
 
Kwani huwa huambiwi ukubaliane na vigezo na masharti kabla hujakubali kutumia huduma za hao watajwa hapo juu?

Au maana ya vigezo na masharti hujui?
 
Mkuu hayo matangazo mpaka yaishe ndo wakusikilize. Sasa mtu si anaku meshaitia
 
Mimi nikiwa na shida nao napiga then naweka Loud [emoji344] speaker. Then naendelea na mambo yangu mpaka nikisikia sauti ya mhudumu ndo nasogelea simu
 
Back
Top Bottom