Nchi hii suala la kumjali Mteja ni kama halipo.
Majuzi nilitaka kununua tiket za ndege kwa kutumia Master card kwa benki pendwa ya NMB sasa kila nilijaribu inagoma.
Napiga customer care wananiambia hadi kesho Yale asubuhi niende kwenye Tawi nililofungulia akaunti. Daah!