customer service

mrlonely

Member
Joined
May 4, 2009
Posts
5
Reaction score
0
vipi mambo mimi ninaandika assignment kwenye how consistent and reliable customer service contributes to customer satisfaction nilikua naomba msaada maana sijui nianze wapi nimalize api
 
Mambo poa Mzuka. Wataka msaada wa desa/simbi...?
 
vipi mambo mimi ninaandika assignment kwenye how consistent and reliable customer service contributes to customer satisfaction nilikua naomba msaada maana sijui nianze wapi nimalize api

Acha ujanja wakijiweni huo, maana sio endelevu. hebu pita kwenye ofisi au makampuni mawili matatu ukaulize na upate majibu yanayoenda na wakati kuhusu Customer Service. Unadhani aliyekupa hiyo assignment haijui yahoo/google?

Kijana usiwe mvivu wa maisha yako. tumechoka kujaza wasomi vihiyo hapa nchini.
 
vipi mambo mimi ninaandika assignment kwenye how consistent and reliable customer service contributes to customer satisfaction nilikua naomba msaada maana sijui nianze wapi nimalize api

Hakuna kitabu mwalimu alielekeza mkasome ili kujibu hayo maswali?
Handouts zake zikoje?
Au mmeelekezwa kuperuzi kwenye google? (wala sitoshangaa)
 
vipi mambo mimi ninaandika assignment kwenye how consistent and reliable customer service contributes to customer satisfaction nilikua naomba msaada maana sijui nianze wapi nimalize api
nenda library......ya udsm, ubalozi wa marekani etc katafute material za kusoma.....udsm library ina dissertation, vitabu,articles kibao zimeandikwa on the topic of customer satisfaction....im sure you will get something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…