kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses,
Ni kwa muda sana sijaandika makala kuhusu computer programming. Kiukweli kuna watu wanahitaji kufahamu Programming na kuweza kuitumia kupata kipato, nina uhakika na hilo kwa sababu wengi wamekua wakinifuata PM kuniomba guide. Leo hii natoa guide generally kwa wote wenye UHITAJI, namaanisha UHITAJI. Kama wewe hauhitaji tafadhali waache wenye uhitaji coz wanajijua.
Kiufupi coding kwa upande wangu nimejifunza mimi mwenyewe bila kwenda chuo na kila siku bado najifunza coz nyanja hii ukilala kdg mambo mengi sana yatakupita. Nilipitia njia ngumu kwa sababu hamna aliekua anaelewa ninachosoma wakati naanza na pia discouragements zilikua nyingi sana, nilikua sina mtu wa kumuuliza wala wa kunipa guide. Baadae nikaacha shule na mengine yashakua historia, ila yote hayo ni kwa sababu nilitaka muda mwingi wa kujifunza software development kwa upana wake.
Kwa sasa najua kona nyingi kwenye hii field hivyo kama wewe ni mwanachuo unasoma computer programming au IT, au una interview ya kazi yyt ya IT au unataka tu kujifunza Software development basi LET'S WALK TOGETHER THROUGH THIS STORM.
Kujifunza coding wewe mwenyewe sio ngumu kwa sababu materials ziko nyingi sana za bure mtandaoni kuanzia w3schools, tutorialspoint etc....... Lakini wengi wanashindwa kuweza kwa sababu hii kitu inahitaji COMMITMENT kubwa na utulivu.
Nafahamu vitu vingi kiasi kwenye hii field so hapa chini nitaweka list na jinsi nitakavyokusaidia. Ila kama ukihitaji kujua kitu kingine kuhusu Software Development ambacho sitokiweka hapa chini basi usisite kunifuata PM au unaweza kuweka comment yako kisha nitareply. Nimezipanga katika courses na kwa kila kozi nmeelezea utajifunza nini.
NB: KWA WALE WENYE UHITAJI WA KUJUA CODING LAKINI COMMITMENT YAO KWENYE KUJIFUNZA NI NDOGO MSIJALI COZ SOLUTION YA HILO GONJWA NINAYO NA INAWEZA KUKUSAIDIA ENDAPO KWELI UNA UHITAJI WA KUJUA NA KUMASTER CODING
1) BASIC ANDROID DEVELOPMENT (Tsh 50,000 Per week, for 3 Weeks Total 150K)
---Hapa muhitaji inabidi awe na computer yake kisha baada ya hizo wiki tatu ataweza kutengeneza Android App inayoweza fanya mambo mengi kama vile notebook, Alarm, Content management, Apps zinazoload web contents za kuzionesha kwa user etc.....
---Nitakusaidia Kumaster android Studio na kukupa mwanga wa jinsi ya kupata kazi za coding kwenye sites kama upwork etc.....
--- Utapata resources zitakazo kusaidia kujiendeleza zaido kwenye hii field.
2) ADVANCED ANDROID DEVELOPMENT(100K per week, 4 weeks Total 400K)
---Hapa tukimaliza utakuwa na uwezo wa kutengeneza hadi chatting apps, music & video players, na apps nyingi zinazo-utilize features kubwa kubwa za Android.
---Muhitaji inabidi awe na PC angalau yenye core i3 processor na 4gb RAM
---Nitakuonesha pia machimbo ya kazi za Android devs ambazo unaweza fanya ukiwa getto tu na ukala dola angalau 100 kwa wiki kama kweli utamaster Android Dev.
3) FULLSTACK WEB DEVELOPMENT with CSS, HTML5, Javascript & PHP only(300K)
Hii haina limit ya wiki lakini nitakuelekeza mpaka tufike sehemu unaweza tengeneza crone ya web ya JF au fb. Pia nitakuelekeza machimbo ya kupata deals za kazi kama hizi na kukupa guide ya nini inabidi uwe nacho ili kupata deals zaidi.
PIA KWA WALE WANACHUO MNAOHITAJI PROJECTS IDEA AU MNATAKA KUONYESHWA JINSI YA KUFANYA PROJECTS ZENU ZA SOFTWARE DEV UNAWEZA KUNITAFUTA PIA.
MWISHO:
Software development ina hela lakini inabidi ujue vitu kweli kweli ndipo utaiona hio hela. Wengi ni script kiddies na wanakatia tamaa katikati hivyo utakuta watu wengi waliosomea IT vyuoni bado ni jobless mitaani. Nimekaa na wanachuo wengi wanaosoma computer programming lakini hadi nakua nasikitika sana na kujiuliza huko chuoni wanasoma nini sijui. Mtu kamaliza degree na kwenye syllabus inaonesha kasoma Web dev, Java, C++ lkn hawezi kuzitumia hata kutengeneza GUI App ndg ndg tu.
Program hii nimeandaa kwa watu wenye uhitaji na iko valid kwa wiki tano tu kuanzia kesho coz nitakua free so muda mwingi nataka kutumia kuelekeza wale wenye uhitaji na hii issue. Kufikia Tar 20 March hii issue itakua Invalid. Pia kama mtu unaona bei ni kubwa lakini una uhitaji kweli wa kujua coding na unadhani utamaster na una kichwa chepesi basi nifuate PM tujue namba ya kufanya
NB: MAWASILIANO YOTE YAFANYIKE PM
Cc PutinV Z1LNUX_P01S0N