Mtu akipata ABC atakuwa na POINTS 12 za CHUO. Hizo POINTs 12 zaweza kikawa ziko ABOVE or BELOW the CUT-OFF POINT for the degree programme inayoombwa. Maana yake in kwamba ikiwa points 12 alizonazo rafiki yetu ziko juu ya CUT-OFF point ya degree programme fulani basi chance ya rafiki yetu huyo kuchaguliwa kwa ajili ya programme hiyo ni kubwa. Kinyume chake, ikiwa points zake ziko chini ya CUT-OFF point basi chance ya kuchaguliwa kwenye hiyo particular DEGREE Programme itakuwa ni ndogo.
N.B> Cut-off point ya mwaka mmoja for any particular programme yaweza itofautiane na ya mwaka mwengine, inategemea idadi ya applicants na viwango vyao vya ufaulu - kwa mwaka wenye majanga kwenye NECTA - ACSEE, cut-off points bila shaka zitakuwa chini (ndogo).