Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajamvi nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi(ukiachana na kazi za academicians)
Shukrani kiongozi tusubirie majibuHongera! Uzi mzuri sana.