Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
-
- #241
Nmeogopa
Ungekuta inawezekana ningeomba muda urudishwe nyuma hadi ile miaka bibi yake Nandy akiwa msichana halafu nipambanie hilo kombe... bibi Nandy ni mzuri balaa.
Kama Nyati
Labda mbingu iwe Manzese Argentina 😄Nilikuwa nampango wa kwenda mbinguni kwa nyuzi hizi kuzimu kunaniita..
Nakemea fire fire fire,baba uwa baba uwa,piga baba,baba piga,nyonga baba baba uwa fire fire fire.