Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh anachangia mbona?
alichangia na kukataa kuunga mguu hotuba ya Tibaijuka cz aliwadisi Kurasin....alichangia tena nimesahau hoja
ahh mi ananiboa cz amalizii barabara ya yombo,kitunda....
Hii ndo CV ya mbunge anayewakilisha wananchi wa Temeke.
Mimi sijawahi kuona hata siku moja either akiuliza swali au kuchangia lolote bungeni, nahisi yuko pale bungeni ili kutoa sauti ya NDIYOOO.
Huyu ni mwanasiasa ambaye amechaguliwa na wananchi wake ambao pengine wanafahamu uwezo wake kuliko mimi na wewe.
Pengine nikuulize kwani mwanasiasa anatakiwa awe na cv ya aina gani????
Kama suala ni degree wanasiasa wangapi ambao ni wasomi lakini wanaboronga???
Nini maana ya DEMOCRACY??? neno hili asili yake ni ugiriki ya 400bc aina ya utawala uliokuwa ukitumika
DEMO means 'people' and CRACY [kratos] means 'power' kwa lugha nyepesi maana yake ni power to the people hivyo basi wananchi kama wanaona mtu fulani anafaa kuwawakilisha [hata kama wengi hatumpendi] lakini wengi wakitaka huwa
hivyo suala la cv kwa mbunge yeyote yule ni juu ya wale wanaomchagua na wanaochagua siku zote wako sahihi kwani wakiona hawafai wanamtosa
weka ya kwako kwanza nayo tuione.bila shaka we n mtoto wa kiume ila napata wasiwasi na hii tabia yko ya umbea na upekenyuku.chunga mjini hapa kaka.
Ucvimbe..haya nnayokueleza yafanyie kaz.
weka ya kwako kwanza nayo tuione.bila shaka we n mtoto wa kiume ila napata wasiwasi na hii tabia yko ya umbea na upekenyuku.chunga mjini hapa kaka.
Ucvimbe..haya nnayokueleza yafanyie kaz.