CV ya Afisa Elimu Mkoa Singida

CV ya Afisa Elimu Mkoa Singida

Habari wana jamvi?
Samahani naomba kujua CV ya Hyo
hapo kama kuna mtu anayo atisaidie. Huyu mama ana maneno machafu balaa. Naomba kujua CV yake kwanza. Asanteni

Ukishaijua CV yake utafanya nini? Siyo ukijisika kuandika unaandika chochote hata upuuzi.
 
Ukishaijua CV yake utafanya nini? Siyo ukijisika kuandika unaandika chochote hata upuuzi.

Acha Upimbi ww. kama uliona Haikufai ungeacha na co kukoment Useda hapa eboo
 
Back
Top Bottom