CV ya Balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania

What a hypocrite!
 
Sarah cooke alikuwa Jasus, David jasus, wanatafuta nini huku?
 
LOooh, hii lugha sijui Tanzania ilitukosea nini? Inatupa shida kweli, pamoja na kwamba tunapenda sana kuitumia.

Hivi nikianzisha 'crash course' ya miezi mitatu mitatu, si ninaweza kuifaidisha nchi yangu hii na kuondokana na tatizo hili?

Nipe 'High Five' kama unakubaliana na wazo langu hili.
 

Mlozi Mkubwa weeee usiku wote huu 03:25 AM unawangaaa tu😂😂😂 badala ya kunipinga kisomi unakuja kupwaga ARGUMENTUM AD HOMINEM....

Nyinyi mwaka huu mmeshikika.....
Zile tisheti zenu nyeupe vaeni mkienda kulala,amkeni nazo,ogeni nazo,muogelee nazo,mgonge FARU john nazo mpaka ziwe na RANGI ya udongo wa Kasulu,nasemaje ndo mshapotea KISIASA hivyo.

Tunaenda na magufuli Kiunzi cha 2020.
 
M16 huyu tena alitokea SAS .we dare wings noma sana ni jasus haswa maana match zake amezipigia sana china na PRK

Mkuu, una uhakika lakini?

Mimi nakuaminia kwenye kutoa Data.

Check your facts.

Wale jamaa zetu tayari wamekwishamsoma tayari, huyu ni wa kawaida tu.

Ndio maana amepewa green light kuja TZ na atapeleka credentials zake kwa mkulu.

Huandika sana mambo ya sayansi kwenye science Journal na "the scientist" lakini ana "degree" zingine kabisa zisizohusiana na sayansi.
 
Watu wanaleta kachero,diplomat aliyeiva,
Sisi tunapereka jitu lililotoka jalalani na mimacho yake,sasa hv wala hatuambiwi dawa ya madagascar ipo wapi?
 
Anakuja kwenye mission ya kijasusi ya kujua jinsi gani Tanzania tulivyopambana na Corona kupitia matangawizi na kujifukiza. Ndio maana ni mtu wa sayansi sayansi hivi. Kwa hiyo akifika tu uwanja wa ndege angefukizwa tu.

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tunaenda na magufuli Kiunzi cha 2020.
Mbona lingekuwa jambo la ajabu sana kama mtu kama wewe asingeenda na magufuli, kwa sababu sampuli yenu ni hiyo hiyo kifikra.

Hili halmshangazi mtu yeyote mwenye akili nzuri kichwani.
 
Naona Sara kapeleka taarifa sahihi pamoja na yule wa america. Kifuatacho ni yale yote mtakayoyafanya hapa wakati wa Uchaguzi yatasababisha watu kulala nje.
Something is in store for us.
 
Watu wanaleta kachero,diplomat aliyeiva,
Sisi tunapereka jitu lililotoka jalalani na mimacho yake,sasa hv wala hatuambiwi dawa ya madagascar ipo wapi?
Mkuu wewe endelea na chuki zako binafsi, sisi wengi Watanzania tumeshavuka huko uliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…